Mbosso Tamu Watch, Download, Lyrics:

Watch the song here:

See Lyrics Below:

Lyrics Wasafi Records… Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo Mususu ya soro ndombolo Na bando letu la buku Twapeluzi mpaka tommorrow Mambo iko huku Penzi twalila kwa solo Hmmm Anipelekesha msobe msobe Kama fuso lapanda mlima Na nilivyo fundi kuchelewesha Kobe kobe Simpi dusko nzima nzima (aah) Mukoroge sumu mnywe kwenye vijiba vya roho Yata wa toka mapunye Mumwe kwashakoo Tena wavimbe na wanune ishakua yako Itafune imung’unye ifike kunako ooh baby Kushika kiuno (tamu) Niku chumu chumu (tamu) Niki kukumbatiaa (tamu) Tamu kolea Penzi letu baby (tamu) Yani mpaka kisogoni (tamu) Torororoo (tamu) Tamu kolea Baby tufanye wazi wazi watuone Picha weka DP na makopa kopa caption Baby walokosa kazi wanong’one Wapandishe BP Wapumue kwa oxygen Waambie vimberu mberu Sio penzi la mashaka Tusha soma dua kusitirika Kwa wenye macho ya paka Wambiee Mimi beberu sio jogo la pasaka Wanajizugua kukunja ndita watazeeka haraka Steel wire ananisugua ( Kwa makovu kovu) Hanaga mbaya laazizi ( Show mbovu mbovu) Tena fundi mwaya Kazi anaijua ( My love love) Haijawahi kupwaya yani kiivi Mukoroge sumu mnywe kwenye vijiba vya roho Yata wa toka mapunye Mumwe kwashakoo Tena wavimbe na wanune ishakua yakoo Itafune imung’unye ifike kunako ooh baby Kushika kiuno (tamu) Niku chumu chumu (tamu) Niki kukumbatiaa (tamu) Tamu kolea Penzi letu baby (tamu) Yani mpaka kisogoni (tamu) Torororoo (tamu) Tamu kolea Ebo baby mtoto kakua ( Kasima dede) Nimtazame ( Kasimama dede) Mwana anatembea ( Kasimama dede) Yani tee tee Anataka aking’ate ( Kasimama dede) Kaona kitumbua ( Kasimama dede) Amekua baba